Ingia / Jisajili

Fedha Na Dhahabu Ni Mali Ya Bwana

Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Melkior Ngooh

Umepakuliwa mara 948 | Umetazamwa mara 4,044

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio Fedha na dhahabu ni mali yake (asema Bwana) nitoleeni sadaka iliyo safi ili kiwemo chakula nyumbani kwangu (nijaribuni) nami nitawafungulieni madirisha ya Mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi tena X2 Mashairi 1. Pandeni mlimani mkalete miti, mkaijenge nyumba yangu nami nitaifurahia na nitatukuzwa. 2. Tumtolee Bwana mali na malimbuko yetu, ndipo ghala zetu zitajazwa, zitajazwa na kufurika. 3. Tumtolee bila huzuni pasipo manung’uniko, maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa uaminifu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa