Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Melkior Ngooh
Umepakuliwa mara 248 | Umetazamwa mara 1,289
Download Nota Download Midi
Kiitikio
Njooni na tusemezane (asemavyo Bwana) kwakuwa tuwakosefu, tumrudie Mungu tukikubali kutubu na kutii tutakula mema ya Ulimwengu X2
Mashairi
Tutoe hukumu za haki, tuwatendee kwa wema na wepesi, wote wamtumainio Bwana.
Tuachane na mienendo mibaya, tufuate njia iliyo njema, ituelekezayo malangoni pa Bwana.
Kwa maana Mungu hadhihakiwi, kwa kuwa apandacho mtu, ndicho atakachovuna.