Ingia / Jisajili

Mapaji ya Roho Mtakatifu

Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Melkior Ngooh

Umepakuliwa mara 84 | Umetazamwa mara 608

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Utatu Mtakatifu Mwaka A
- Mwanzo Utatu Mtakatifu Mwaka B
- Mwanzo Utatu Mtakatifu Mwaka C
- Antifona / Komunio Pentekoste

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

 

Njoo Roho Mtakatifu nafsi ya tatu ya utatu Mtakatifu Mungu mmoja X2 Karibu uyaangaze maisha yetu kwa mapaji yako mapaji matakatifu X2

 

Mashairi:

 

  1. Tujalie hekima ya kupenda na kufurahia mambo ya Mungu ili tuishi kitakatifu.

 

  1. Tujalie akili ya kumjua Mungu katika ukamilifu wake wote tumjue Mungu katika ukamilifu wake wote.

 

  1. Tushauri kuchagua mambo yanayofaa kuishi kama rafiki mwaminifu rafiki mwaminifu wa Yesu.

 

  1. Tupe nguvu na uwezo wa kushika amri za Mungu tusiogope kufa kwa ajili ya Kristu.

 

  1. Tujalie elimu ya kuchagua njia ya Mungu na kuepuka kukaa mbali na Mungu.

 

  1. Tuwezeshe kuwa na ibada ya kumpendeza Mungu kwa ajili ya sifa na utukufu wake.

 

  1. Tupe uchaji na hamasa ya kumjua Mungu na tusimkwaze kwa maneno na matendo yetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa