Ingia / Jisajili

Ni Shangwe Kuu (Yesu Amezaliwa)

Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Melkior Ngooh

Umepakuliwa mara 1,261 | Umetazamwa mara 3,162

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

 

Ni Siku ya furaha kuu, ni utukufu wa Bwana. Ni vigelegele na shangwe na nderemo ulimwengu mzima maana Yesu amezaliwa leo azaliwe mioyoni mwetu azaliwe mioyoni mwetu.

 

Mashairi:

 

  1. Kristu Mfalme amezaliwa amezaliwa leo ili ulimwengu upate kuokolewa katika utumwa wa dhambi haleluyah.

 

  1. Kristu Mfalme Mwokozi wetu amezaliwa leo tumshangilie tumshangilie na kumfurahia, haleluyah.

 

  1. Kristu Mfalme wa amani amezaliwa leo tufurahi na kusheherekea leo ni shangwe kwelikweli haleluyah.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa