Ingia / Jisajili

Pokea Baba Vipaji

Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: David Kacholi

Umepakuliwa mara 1,526 | Umetazamwa mara 5,671

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Pokea Baba pokea vipaji tunaleta pokea x 2

Mashairi:

  1. Ni mazao ya mashamba, pokea,
    Kazi za mikono yetu, pokea.
     
  2. Mikononi mwake padri, pokea,
    Shukurani zetu kwako, pokea.
     
  3. Uvibariki vipaji, pokea,
    Japo ni kidogo sana, pokea.
     
  4. Sala na maombi yetu, pokea,
    Utubarikie Baba, pokea.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa