Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 627 | Umetazamwa mara 3,292
Download Nota Download MidiKiitikio:
Sikia Binti utazame utege sikio lako, uwasahau watu wako na nyumba ya Baba yako x 2. Naye mfalme, atautamani uzuri wako, maana ndiye Bwana wako nawe umsujudie x 2.
Mashairi:
1. Binti wa tiro analeta kipawa chake, nao matajiri matajiri wa watu watajipendekeza kwako.
2. Binti wa mfalme yumo ndani anafahari, fahari tupu mavazi yake ni ya nyuzi za dhahabu.