Ingia / Jisajili

Mungu Nitakusifu Milele

Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Melkior Ngooh

Umepakuliwa mara 522 | Umetazamwa mara 1,773

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

 

Nitakusifu milele (Bwana) Mungu muumba wa Mbingu (na Dunia) na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, daima nitakusifu nitakusifu milele X2

 

Mashairi

 

  1. Nitakusifu milele kwa kuwa wewe ni alfa na omega, wewe ni mwanzo na mwisho nitakusifu milele.

 

  1. Sifa zi juu yako uketie mahali pa juu palipoinuka, wastahili kuabudiwa Bwana wastahili kuabudiwa.

 

  1. Mungu wa babu zetu Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo, jina lako litukuzwe daima jina lako litukuzwe.

 

  1. Nitakusifu wewe Mungu kwa kuwa hakuna zaidi yako, wewe peke yako Bwana unastahili sifa Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa