Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Melkior Ngooh
Umepakuliwa mara 588 | Umetazamwa mara 1,863
Download Nota Download MidiKiitikio
Twendeni (Kwa Bwana) tukamtolee (shukrani) kwa maana anatupenda na kutubariki X2
Mashairi
Tunakutolea sadaka kukushukuru, kwani unatupenda na kutubariki
Tunakutolea sadaka kwa sifa yako, maana mapito yako ni ya amani
Daima twajielekeza kwenye kweli yako, tupate kurithi ufalme wa milele.
Ee Mungu wapendezwa na sadaka iliyo safi, pokea kwa moyo sadaka na utubariki