Ingia / Jisajili

Tukampokee Yesu

Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Melkior Ngooh

Umepakuliwa mara 797 | Umetazamwa mara 2,781

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Twendeni mezani (mezani kwa Bwana) tukampokee Yesu ili akae ndani yetu, nasi tukae ndani yake, njooni twende tukampokee Bwana ili tuone maisha kwa mwanga ulio bora X2

Mashairi

  1. Yesu anatualika wenye moyo safi, twendeni tukampokee kwa unyenyekevu.

  2. Asante Yesu kwa zawadi ya Mwili na Damu yako, karibu Yesu ukae mioyoni mwetu.

  3. Utuongoze katika kweli yako daima, ili tupate kurithi ufalme wa mbinguni. 


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa