Ingia / Jisajili

Mungu wa Wokovu Wangu

Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Moyo Mtakatifu wa Yesu | Noeli

Umepakiwa na: Melkior Ngooh

Umepakuliwa mara 283 | Umetazamwa mara 2,176

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

 

Ee Mungu, Mungu wangu (wa wokovu wangu) asante kwa zawadi ya mwanakondoo, kwa jinsi ulivyoupenda ulimwengu hata ukamtuma mwanao wa Pekee (Yesu Kristu), ili kila amwaminiye asipotee bali, awe na uzima wa milele, (ndimi zetu) daima zitaimba utukufu wako, daima zitaimba utukufu wako X2

 

Mashairi

 

  1. Ee Mungu uifumbue midomo yangu, maana wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu.

 

  1. Ee Mungu muumba wangu, bariki moyo wangu nikuimbie sifa zako na utukufu wako.

 

  1. Ee Mungu unipe nguvu nishinde majaribu, katika kuishi ukistu wangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa