Ingia / Jisajili

Ninakushukuru Ee Mungu

Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh

Makundi Nyimbo: Misa | Shukrani

Umepakiwa na: Melkior Ngooh

Umepakuliwa mara 557 | Umetazamwa mara 1,667

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

 

Ninakushukuru Mungu kwa kuniumba na utashi kupita viumbe vyote ninakushukuru Bwana x2 Nashukuru kwa zawadi ya uhai sifa na utukufu vikurudie Bwana X2

 

Mashairi

 

  1. Ninakushukuru Mungu kwakuwa umeniumba kwa jinsi ya ajabu, sifa na utukufu vikurudie wewe Bwana.

 

  1. Ninakushukuru Mungu kwakuwa umeniumba kwa Sura na mfano wako utukuzwe milele.

 

  1. Ninakushukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, uweza na nguvu viko kwako daima ee Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa