Ingia / Jisajili

Ni Shangwe Kuu (Yesu Amefufuka)

Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Melkior Ngooh

Umepakuliwa mara 600 | Umetazamwa mara 2,031

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

 

Ni Siku ya furaha kuu, ni utukufu wa Bwana. Ni vigelegele na shangwe na nderemo ulimwengu mzima maana Yesu ameshinda mauti ili kila amwaminiye awe na uzima wa milele awe na uzima wa milele.

 

Mashairi:

 

  1. Kristu amefufuka kwelikweli kama alivyosema ili ulimwengu wote upate kuokolewa utumwani mwa dhambi haleluyah.

 

  1. Kristu atapaa Mbinguni kuketi kuume kwa Mungu atapaa Mbingini kwa Baba haleluyah.

 

  1. Kristu atarudi tena atarudi kwa mara ya mwisho kwa hukumu ya wazima na wafu, haleluyah.

Maoni - Toa Maoni

Onekalit James Dec 08, 2019
I love church music from Catholic TZ

Toa Maoni yako hapa