Ingia / Jisajili

Yesu amezaliwa

Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Melkior Ngooh

Umepakuliwa mara 792 | Umetazamwa mara 2,635

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

 

Kiitikio:

 

Ninakutakia siku-kuu njema yenye heri na baraka ya kuzaliwa Bwana wetu Yesu Kristu, Bwana Yesu azaliwe mioyoni mwetu, tunaposheherekea sikukuu ya kuzaliwa mwokozi Bwana wetu Yesu Kristu ni furaha na shangwe mioyoni mwetu, tuimbe tushangilie mwokozi amezaliwa X2

 

Mashairi:

 

  1. Jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtuma mwanae mwanae wa Pekee Yesu Kristu ili tuache njia zetu za zamani na kuwa na mwanzo mpya.

 

  1. Jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae mwanae wa Pekee Yesu Kristu ili tupate kusamehewa dhambi tusamehewe dhambi.

 

  1. Jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtuma mwanae mwanae wa Pekee Yesu Kristu ili kila mtu amwaminiye awe na uzima wa milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa