Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Misa
Umepakiwa na: Melkior Ngooh
Umepakuliwa mara 325 | Umetazamwa mara 1,844
Download Nota Download Midi
Kiitikio
Ee Bwana (Mungu Mkuu) twaja mbele yako, twaja mbele yako jinsi tulivyo utuhurumie ee Bwana usiyahesabu makosa yetu kwani hatustahili kusimama mbele yako X2
Mashairi
1. Ee Bwana tumekutenda dhambi, hatufuati mafundisho yako, tunatembea katika njia isiyofaa.
2. Ee bwana utuhurumie tuachane na njia mbaya tukufuate wewe ulie njia ya kweli.
3. Ee bwana hakuna mwenye haki ukiyahesabu makosa yetu, ila kwako kuna msamaha bwana.
4. Ee bwana utusaidie tukutafute mapema Bwana, nyakati za ujana wetu tukukaribie Bwana.