Ingia / Jisajili

Tunyanyuke Tusikie Neno

Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Alfred Ogombo

Umepakuliwa mara 533 | Umetazamwa mara 2,046

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tunyanyuke sote tusikie neno neno lake Bwana latuletea uzima,

Waamini wote ametualika, kwa mafunzo yake tusikize kwa makini

1.Neno lake Bwana latuletea uzima,

   Linatuletea na baraka zake Mungu

2.Neno hili linaponya laponya magonjwa,

   na laana zote tunapata afya njema

3.Minyonyoro za shetani leo zimevunjwa,

   limetunasua tumepata kuwa huru

4.Kwa maakini tusikize neno lake Bwana,

   neno lake Yesu lihubiriwe daima

5.Tueneze neno hili dunia ipate,

   ipate wokovu wake Bwana wa milele


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa