Taarifa mbalimbali juu ya matumizi ya Swahili Music Notes.
Swahili Music Notes imepata mabadiliko kadhaa. Admin wetu, amekuwa katika mchakato wa mabadiliko haya kwa muda mrefu sana, kusema ukweli, muda mrefu kupita kiasi. Hii ni kutokana na chang...
Leo nimekuwa inspired na wimbo wa “Lukando Andrew Basil” unaoitwa “Tuimbe Bwana Amejifufua”. Nimeupenda wimbo huu, na ningependa sana kwaya yetu iimbe wimbo huu. Lakini, nili...
Watu wengi wanapenda kuchangia Swahili Music Notes kwa ku-upload nyimbo. Muongozo huu ni kuwasaidia wale ambao hawajaweza ku-upload nyimbo bado: Kwanza kabisa, kabla ya ku-upload...
Na Ronald Nakaka: Ndugu Terence Vusile Silonda na mimi tulijadili wazo moja ambalo tuliona ni muhimu kuliwasilisha kwenu watumishi. Tuliona ni vyema tuakaanzisha kwenye Swahilimusi...
Swahili Music Notes inakutakia Heri na Fanaka za Mwaka mpya. Katika kusherehekea mwaka mpya, karibu uone baadhi ya Wadau wa Swahili Music Notes, walionunua tshirt, na kupenda kutushirikisha sisi wen...
Inaendelea... Kama haujasoma sehemu ya kwanza, tafadhali bofya hapa > http://www.swahilimusicnotes.com/page/nafasi-na-kazi-ya-conductor-by-richard-mloka Kama haujasoma sehemu ya pili, tafa...
KAZI KWENU WALIMU: "As a group (of singers), you are as strong as the weakest singer" Walimu wengi wanashawishika kuwakazania waimbaji ambao wanafanya vizuri zaidi, wakidhani kikundi...
Inaendelea... Kama haujasoma sehemu ya kwanza, tafadhali bofya hapa > http://www.swahilimusicnotes.com/page/nafasi-na-kazi-ya-conductor-by-richard-mloka Katika Sehemu ya Kwanza, nimejaribu...
TUJADILI KWA UFUPI NAFASI NA KAZI YA CONDUCTOR Awali naomba niwatake radhi kwa kuendelea kutumia neno ‘conductor’ mpaka sasa nimeshindwa kupata tafsiri yake kwa Kiswahili. Najua wengin...
Swahili Music Notes ilizaliwa tarehe 1 Disemba, 2011 na nyimbo takribani 5 hivi. Ilifikisha nyimbo 100 tarehe 9 January, 2012. Ilipofika tarehe 21 Juni, 2012 (Siku ya Muziki duniani) tulifikis...
Tumeiprove search ya Swahili Music Notes. Bado ipo katika kuboreshwa, ila imepiga hatua sana. Angalia video ifuatayo il kujua zaidi.
Kwa nia ya kuhakikisha nyimbo zinazoingia Swahili Music Notes zinakuwa katika ubora unaofaa, nimeona ni bora kuwe na njia bora ya kutoa taarifa iwapo wimbo utakuwa na makosa. Kama utaona wimbo wenye...
There are some changes to Swahili Music Notes. Video hizi zinaelezea mabadiliko haya. Video ya Kwanza inaelezea mabadiliko kwenye Front End: Video hii y...
Nimepokea maswali wengi juu ya kujiunga na kundi la Fr. G. Kayeta. Natumaini maelezo haya yatasaidia wengi.KAMA UPO FACEBOOK: Login kwenye account yako ya Facebook kwa kwenda www.facebook.com Juu...
Hello uploader,Kutokana na mabadiliko kwenye site yetu, ni lazima utambue kuwa utaratibu wa ku-upload nyimbo umebadilika kidogo.Kwanza kabisa, utaona kuwa 'mtunzi' anaweza kuchaguliwa kutoka kwenye or...
Hahahaha, this was an interesting fix. Na kama wewe ni mdadisi utakuwa umeshagundua mabadiliko ambayo yamefanywa kwenye site. Wazo hili nilikuwa nalo tangia awalli, ila uvivu na ukosefu wa data za kut...
Wengi wenu hamjatambua bado uwezo wa Swahili Music Notes Dashboard. Nachukua nafasi hii leo kuwaelimisha japo kidogo kuhusu Dashboard. Hii ni kwa faida kwa wanaopanga ku-upload nyimbo na walioupload n...
Kama wewe ni mmoja wa watu wanao-upload nyimbo mara kwa mara, basi walau mara moja au mbili au zaidi, umeona Admin haku-review nyimbo zako.Kuna sababu mbili kuu za kutoreview: Wimbo umo tayar...
So, I've been asking people to include lyrics on the songs that they uploaded. I've even helped some of you to include the lyrics. Today, I'm going to show you the benefits of doing so by using two ex...
If you followed the directions in the previous post, but you still can't play midi files, then you probably don't have java installed on your computer.To download Java go to this link > http://java...
The New Midi Player is much better, but needs your permission to show you its super abilities. When you open a song, which has a midi file you'll see on top or bottom of your browser a message....
So, with the new Swahili Music Notes, it could be overwhelming. There's one more thing that you should know about:THE DASHBOARDFor all registered users, you can use the Dashboard to: Upload a...
The New Swahili Music Notes many great new features:The New Logo:Finally the site has it's own logo. The New Logo was specifically made for Swahili Music Notes to help identify it easily.The New Home...
Swahili Music Notes has a new look. There are so many new features that will hopefully make the site more user-friendly. Stay Tuned for a list of new features.